KAIMU MKURUGENZI KWEKA AWATAKA MAKATIBU SHERIA KUJIFUNZA MFUMO KWA DHATI

 Kaimu Mkurugenzi Divisheni ya Utenganishaji wa shughuli za Mashtaka na Upelelezi kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Makao Makuu Jijini Dodoma Bw. Tumaini Kweka amewataka Makatibu Sheria na Mawakili kujifunza mfumo kwa dhati kwa vitendo na kuuelewa vizuri ili iwasaidie na kuwarahishia katika majukumu yao ya kiutendaji kazi wa kiofisi wa kila siku.

Mkurugenzi Kweka amezungumza hayo wakati akitoa salamu fupi kwa washiriki wa Mafunzo ya Utumiaji wa Mfumo wa Kielekitroniki wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka katika masuala ya Kesi kwa Makatibu Sheria na baadhi ya Mawakili wa Serikali wanaoshughulika na Takwimu yaliyoanza jana tarehe 5 Januari 2022 na kumalizika tarehe 8 Januari, 2022 Jijini Dar es salaam katika ofisi za TAGLA zilizopo Chuo Kikuu cha Usimamizi wa Fedha (IFM)


 Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ya Utumiaji wa Mfumo wa Kielekitroniki wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka katika masuala ya Kesi kwa Makatibu Sheria na baadhi ya Mawakili wa Serikali wanaoshughulika na Takwimu wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Divisheni ya Utenganishaji wa shughuli za Mashtaka na Upelelezi Bw. Tumaini Kweka wakati akitoa salamu fupi kwenye  mafunzo hayo yaliyoanza jana tarehe 5 Januari 2022 na kumalizika tarehe 8 Januari, 2022 Jijini Dar es salaam katika ofisi za TAGLA zilizopo Chuo Kikuu cha Usimamizi wa Fedha (IFM)

 


Baadhi ya washiriki wakiendelea kujifunza kwa vitendo na kuelekezana namna ya kutumia mfumo katika utendaji wao wa kazi  kwenye Mafunzo ya Utumiaji wa Mfumo wa Kielekitroniki wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka katika masuala ya Kesi kwa Makatibu Sheria na baadhi ya Mawakili wa Serikali wanaoshughulika na Takwimu yaliyoanza jana tarehe 5 Januari 2022 na kumalizika tarehe 8 Januari, 2022 Jijini Dar es salaam katika ofisi za TAGLA zilizopo Chuo Kikuu cha Usimamizi wa Fedha (IFM)


 

Share:

No comments:

Post a Comment

Labels

Recent Posts

MKURUGENZI WA MASHTAKA

MKURUGENZI WA MASHTAKA AWAONYA WANAOPANGA KUFANYA VURUGU ASEMA NCHI INAPASWA KUWA SALAMA WAKATI WOTE Contact me .