Mkurugenzi wa Mashtaka
Bw. Biswalo E.K. Mganga
Ndugu Biswalo E.K. Mganga, aliteuliwa tarehe 3 Oktoba 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka
Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka
Bw. Edson Athanas Makallo
Ndugu Edson athanas Makalo, aliteuliwa tarehe 15 April 2018 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka






No comments:
Post a Comment