Mkurugenzi wa Mashtaka Bw, Biswalo Mganga akiwa na Mh.Jamhuri Wiliam wakikata utepe,kuashiria uzinduzi wa ofisi ya taifa ya Mashtaka wilaya ya Mafinga Mkoani Iringa katika hafla fupi iliyofanyika Makao Makuu ya Wilaya hiyo. Picha ya pamoja ya Meza kuu katika uzinduzi wa hafla ya uzinduzi wa ofisi ya
Taifa ya Mashtaka ufindi Mkoani Iringa.
Mkurugenzi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Bw,Biswalo Mganga wakati akitoa neno katika hafla ya uzinduzi wa Ofisi hiyowilayni Mufindi Mkoa wa Iringa.
Mkuu wa wilaya hiyoMh,Jamhuri William akitoa neno kwenye uzinduzi huo.
Mkurugenzi wa Mashtaka Bw,Biswalo Mganga wakiwa na naibu wake Bw,Edson Makallo kwenye uzinduzi wa ofisi hiyo ya mashtaka.
Kamati ya ulinzii na Usalama ,Wilaya ya mufindi Wakijadili Jambo na Naibu Mkurugenzi wa ofisi ya taifa ya Mashtaka Bw,Edson Makallo kwenye uzinduzi huo.






No comments:
Post a Comment