Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Sylvester Mwakitalu akitoa neno la ufunguzi wa kikao kazi cha Mkurugenzi wa Mashtaka na Makatibu sheria kilichoanza leo tarehe 17 Disemba, 2021 hadi tarehe 18 Disemba, 2021 katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Makao Makuu Jijini Dodoma.
Kaimu Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka ambae pia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Uendeshaji wa Kesi Bi. Neema Mwanda akitoa neno la kumkaribisha mgeni rasmi Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Sylvester Mwakitalu kwa lengo la kufungua kikao kazi cha Mkurugenzi wa Mashtaka na Makatibu Sheria kilichoanza leo tarehe 17 Disemba, 2021 hadi tarehe 18 Disemba, 2021 katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Makao Makuu Jijini Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Bw. Mussa Magunguli akiwasilisha mada juu ya Mipango, Bajeti na Taarifa za Utekelezaji katika kikao kazi cha Mkurugenzi wa Mashtaka na Makatibu sheria kilichoanza leo tarehe 17 Disemba, 2021 hadi tarehe 18 Disemba, 2021 katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Makao Makuu Jijini Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala Bw. Leonard Mehta akitoa mada juu ya Wasilisho la Rasimu ya Mapendekezo ya Miundo ya Kiutumishi ya Makatibu Sheria katika kikao kazi cha Mkurugenzi wa Mashtaka na Makatibu Sheria kilichoanza leo tarehe 17 Disemba, 2021 hadi tarehe 18 Disemba, 2021 katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Makao Makuu Jijini Dodoma.






No comments:
Post a Comment