
Katika kuhakikisha kuwa huduma za Mashtaka zinazosegezwa karibu na wananchi Mkurugenzi wa Mashtaka Bw Biswalo Mganga anatarajia kuzindua ofisi ya Taifa ya Mashtaka wilayani Karagwe Januari 21 ikiwa ni sehemu ya kusogeza huduma karibu na wananchi
Tembelea Mitandao yetu ya Kijamii
Youtube Mashtaka tv , Instagram, Blog na Website www.nps.go.tz






No comments:
Post a Comment