Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wakuu wa Mashtaka barani Afrika ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mashtaka wa Tanzania Ndugu Sylvester Mwakitalu akihudhuria Mkutano wa Kamati ya Uongozi wa Umoja wa Wakuu wa Mashtaka barani Afrika unaofanyika katika jiji la Cairo nchini Misri.
Ni kwa mara ya kwanza Wakuu wa Mashtaka wa Afrika na Nchi za Kiarabu wanafanya Kongamano pamoja kabla ya kila Umoja kufanya Mkutano wake .






No comments:
Post a Comment